Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Februari 4, 2017, Hapa unapata kurasa za mbele za magazeti zikionyesha habari kubwa zote.

Dkt. Shein asimamia kauli yake kwa watumishi wa umma
Kamati ya kudumu ya bunge ya utawala yawashukia wakuu wa mikoa na wilaya