Ubishi umeisha kama unazungumzia suala la utani na upinzani baada ya Stand United kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Mwadui FC.
Shinyanga Derby imeisha kwa kikosi cha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ kuibuka na ushindi huo na kumaliza ubishi.
Mechi ilikuwa kali na ya upinzani mkubwa kutoka kila upande lakini Mwadui FC ilionekana kuwa na nafasi nzuri ya kushinda ushindi mkubwa zaidi.

Lowassa Ajibu Makombora ya Kinana, Awataka Wananchi Wamuaibishe
Huyu Ndiye Rapa Mwenye Asili ya Tanzania Aliyetajwa Tuzo za Grammy