Kasi ya rais John Magufuli imeendelea kumfanya awe gumzo Afrik ambapo gumzo hilo limezaa hashtag ya ucheshi inayotokana na maamuzi yake #WhatWouldMagufuliDo.

Kupitia hashtag hiyo kwenye mtandao wa Twitter, watu mbalimbali wameeleza kwa ucheshi namna ambavyo wangeweza kubana matumizi na kupata kile walichokuwa wanakihitaji kwa mtindo wa Magufuli (angekuwa Magufuli angefanyaje).

Hizi ni baadhi ya zinazotrend:

 

Marekani yatishia kusitisha msaada kwa Tanzania, yatoa masharti kuhusu Zanzibar na Kesi za Makosa ya Mtandao
Diamond atajwa kati ya watu 100 Afrika wenye sifa hizi