Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Maofisa wa Jeshi la Polisi Wanawake muda mfupi baada ya kufungua  Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja  na Maofisa wa Jeshi la Polisi Wanawake muda mfupi baada ya kufungua  Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kufungua Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU.

IGP Sirro athibitisha kuuwawa kwa askari watatu
Waziri Mulamula akutana na kufanya mazungumzo na watanznia waishio Kenya