Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 30 Oktoba anatarajia kusafiri kuelekea Glasgow Scotland kuhudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa.

Mkutano huo unakwenda kujadilia athari zq mabadiliko ya tabianchi na Rais Samia akitarajiwa kuhutubia Mkutano huo siku ya 2 ya Mkutano.

Taarifa kutoka Ikulu

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Oktoba 30, 2021
Siku 11 Rubani haonekani pamoja na ndege yake.