Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imempitisha Hashimu Rungwe wa chama cha chauma kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi utakaofanyika octoba 28, 2020.

Rungwe amekuwa wa 12 kati ya wagombea 17 waliochukua fomu, kurejesha na kupitishwa na NEC

Wagombea wengine waliochukua fomu kurejesha na kupitishwa ni Rais Magufuli CCM, Leopard Mahona NRA, John Shibuda (Ada Tadea), Mutamwega Mgaiwa (SAU), Yeremia Maganja (NCCR Mageuzi), Ibrahimu Lipumba (CUF), Philip John Fumbo (DP) Twalib Ibrahim kadege (UPDP), Bernad Membe ACT Wazalendo

Dkt Mwinyi kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar leo
Messi aliteka soko la Italia