Klabu ya Singida United imeendelea kufanya usajili mkubwa kwaajili ya maandalizi ya ligi kuu msimu ujao ambapo wamepanda Ligi Kuu Msimu huu hivyo kuanza kujidhatiti kwa kufanya usajili mbalimbali ambapo leo imefanikiwa kumnyakua kiungo mkabaji wa Mbeya City, Kenny Ally Mwambungu.
 
Usajili huu ni wa sita baada ya kuwasajili wachezaji watano wa kigeni, kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Klabu hiyo amesema kuwa klabu hiyo inataka kusajili jumla ya wachezaji 14.
Aidha, Kenny Ally alikuwa kwenye vichwa vya habari katika timu kubwa zilizokuwa zikiwania saini ya mchezaji huyo wakiwemo wakongwe Simba na Yanga na nyingine kama vile Azam FC na Mwadui FC.
 
Singida United ambayokwa sasa inanolewa na Kocha mwenye mafanikio makubwa Tanzania na mwenye uzoefu mkubwa katika mashindano mbalimbali barani Afrika

Video: Polepole anena mazito kuhusu mauaji Kibiti
Kesi ya 'Scorpion' mtoboa macho yazidi kupigwa kalenda