Uteuzi wa JPM wawaibua wasomi, wanasiasa, Fatma Karume asimamishwa uwakili, Lowasa nchi imeshika adabu, korosho kuuzwa kwa mnada wa wazi mtandaoni, Dk Tulia anogesha maonyesho ya utalii, Membe pasua kichwa CCM, Mbaroni kumzuia bintiye kufanya mtihani, Bosi usalama wa Taifa awa balozi, Mbunge, vigogo wa Chadema wawekwa ndani amri ya DC,.. Bofya hapa kutazama habari zilizopewa kipaumbele kwenye magazeti ya leo Septemba 21, 2019.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=vpxq5kbSLyo]

Video: Utaratibu mpya wa ununuzi wa korosho wawekwa hadharani
Tanzania, Poland kuongeza ushirikiano kibiashara