Serikali imetangaza kukata viinua mgongo na posho za wabunge katika kukusanya kodi wakati, Hayo yamesemwa na Waziri wa fedha na mipango Philip Mpango wakati akisoma bajeti kuu. Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilaly amepinga kitendo hicho na kuiomba serikali iondoe mpango huo.

Madereva wa Mabasi ya Mwendokasi wafanya ‘mgomo baridi’
Tarehe ya Yanga kukabidhiwa 'Chao' na Vodacom yawekwa wazi