Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea na vikao vyake leo April 6, 2017 mjini Dodoma ambapo ni Kikao cha tatu katika Mkutano wa Saba, Bunge la Kumi na Moja. Wabunge wamezungumza mambo mabali mbali ikiwa ni pamoja na kuuliza na kupata majibu kutoka Serikalini. Bofya hapa kutazama kipindi chote cha Bunge leo

Antonio Conte Achekelea Kuifunga Man City
Bakari Shime: Tutalipa Deni La Watanzania