Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ditram Nchimbi, Miraji Athumani na Kelvin John ‘Mbappe’ wamefunguka kuhusu maandalizi yao kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda ambapo mchezo huo utapigwa Oktoba 14 jijini kigali mwaka huu nchini Rwanda.

JK azushiwa maneno ayaita uzandiki, fitna na uchonganishi
Video: Rugemalira aamsha upya mzimu wa Escrow, Nyerere Hajafa