Kampuni ya Vioo Salehbhai Glass Industries Ltd imewatangazia Watanzania neema ya kutopoteza gharama zao bure kwenda nje ya nchi kwaajili ya kufanya manunuzi ya vioo kwani kampuni hiyo ipo vizuri na inatengeneza vioo imara vya aina zote kwa ‘style’ mteja atakayoihitaji na rangi mabli ,bali, kwa muda wowote.

Afisa Mauzo wa Salehbhai Glass Industries Ltd, Bw. Isaac Mubisa Akielezea Ubora wa Vioo Hivyo

Video: Maelezo ya Kamanda Msangi Kuhusu Majambazi 3 Kuuawa Mwanza
Azam FC Kugeukia Michuano Ya Vijana Barani Afrika