Sheria ya nchini Tanzania inasemaje juu ya mfungwa kulipiwa faini?, je mtu anaweza kufungwa kwa niaba ya mhalifu? ni ipi tafsiri halisi ya kosa la uchochezi na mipaka ya adhabu yake, kifungo na Faiani.
Mwanasheria Leonard Manyama amefafanua hayo yote kwenye kipindi cha exclusive dar 24,…Bofya hapa kutazama.