Vannessa Mdee ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Niroge’. Huu ni wimbo wa kwanza wa Mwimbaji huyo kutoka kwenye album yake inayosubiriwa kwa hamu ya ‘Money Mondays’.

Wimbo umetayarishwa na Nahreel kutoka studio za The Industry na video imeongozwa na Justin Campos, Johannesburg Afrika Kusini.

Enjoy:

 

Makonda achota baraka kuisafisha Dar
Takukuru wakomaa na Zitto, Bashe... Bashe ashtukia kitu