Lowassa: Msipingane na misimamo ya Magufuli, Ukame washtua maaskofu Katoliki, Rais wa Baraza la maaskofu aomba watu waombe, wakeshe kuomba mvua… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 15, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Nchemba kupambana na wauza unga
Chadema wajipanga kumtoa Lema,waandaa mawakili 18