Video: Shirika la kazi Duniani kuandaa tuzo kwa Waajiri
8 years ago
Shirika la kazi Duniani(ILO) limeandaa tuzo za waajiri kwa wale ambao wamekuwa wakihudumia vizuri waajiri wao, Shirika hilo limeamua kuandaa tuzo hizo ili kuweza kutoa motisha kwa waajiri wote ambao wanajali maslahi ya wafanyakazi wao.