Msanii wa bongo fleva kutoka kundi la Wasafi Classic WCB, ameachia ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la ‘Chuchumaa’.

Diamond Platinumz tayari ameanza kupromoti wimbo huo ambao umeachiwa rasmi Octoba 5, 2019.

Unaweza kuitazama video hiyo hapa chini;

Fahamu wanyama 10 wenye akili zaidi duniani
Nkana yatoa adhabu kali kwa mashabiki waliorusha mawe