Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa ugonjwa unaosababishwa na Sumu Puvu ulioripotiwa kwa mara ya kwanza mkoani dodoma umekuwa changamoto kubwa katika afya.

Akiongea na waandishi wa habari mapema leo ameeleza kuwa ugojwa huo umekuwa na takwimu za juu zaidi kuliko Ugonjwa wa Kipindu pindu. Bofya hapa kutazama Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akieleza kuhusu ugonjwa huo

Mgogoro wa Kota za Magomeni Umekwisha
Wafanyabiashara watakiwa Kuzingatia Usafi Ilala