Timu ya yanga itakumbana  na kibano cha kulipa gharama za uharibifu wote uliotokea katika uwanja wa taifa jijijni Dar es salaam wakati wa mechi yao ya makundi na TP.mazembe iliyochezwa jumanne wiki hii.

Afisa habari wa TFF, Alfredy Lucas alipokuwa akiongea na Waandishi wa habari amesema kuwa hakuna kipengele cha sheria kinacho wazuia yanga kupanga Mipango yao katika mechi zao lakini wanatakiwa kulipa gharama za Uharibifu wote uliojitokeza siku ya mechi yao na TP Mazembe baada ya tathmini kumalizika.

Pesa zamlaza hospitalini Rita Ora
''Tanzia'' Mwandishi Maarufu Nigeria Afariki