Msanii wa Muda mrefu nchini Uganda Jose Chameleone leo amevunja ukimya wa tetesi ambazo zilikuwa zikizungumzwa kwa muda mrefu juu ya kutokuwepo kwa maelewano kati yake  na hit maker wa Kidogo Diamond Platnumz.

Kupitia mtandao wake wa Instagram Chameleone ameendika ya kuwa hakuna tatizo baina yake na diamond huku akiongeza kuwa kuna watu wanajaribu wanatengeneza bifu kati yao.

“I know how much hard work it takes to build a name and how we are all relevant to flying Africa Music to the world. I can see people trying to build beef lines between me and Diamond Platnumz all these years,” -Chameleone.

Screenshot_2016-07-19-16-01-21_2

Hata hivyo Chameleone amejizolea pongezi nyingi kwa mashabiki na wadau wa muziki kuweka sawa mambo kwani tetesi zilikuwa zikisema eti kwamba akigoma kufanya kollabo na diamond alipomuomba.

 

Ndalichako Atoa Majibu ya Waliofukuzwa Udom Wenye Sifa ni 382 tu
Dar esalaam na Dodoma inaongoza kwa Vitendo Vya Ushoga - Ummy Mwalimu