Baadhi ya Mawaziri na Wabunge akiwemo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wametembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

Katika maonesho hayo, badhi ya Wabunge na Mawaziri wameendelea wamejionea mabanda ya taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati, ambapo wanapata maelezo ya kina kuhusu miradi mbalimbali ya nishati inayoendelea nchini.

Kipigo cha USMA, Kocha Nabi aitaja TFF, TPLB
Kocha USMA: Young Africans walipata huruma ya mwamuzi