Picha kutoka Ikulu tukio la kuapishwa kwa Mkuu wa Jesho la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo kuchukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye imeelezwa kuwa atapangiwa kazi nyingine.

        

Video: IGP Sirro atoa onyo kali kwa wahalifu, aahidi kuwashughulikia
Bulembo awataka viongozi CCM kuwa wazalendo

Comments

comments