Basi la Kidia One likiwa safarini kutoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam, limeungua moto maeneo Iguguno shamba mkoani Singida.

Hata hivyo hakuna majeruhi wala kifo kilichoripotiwa. kwa taarifa zaidi kuhusu chanzo cha tukio hilo tutaendelea kuwajuza.

Habari Picha: Rais Dkt. Magufuli aongoza mamia ya watu katika mazishi ya Dada yake
Ngome ya Mbowe yazidi kutikiswa, mwingine atimkia CCM