Shabiki maarufu wa klabu ya Yanga ambaye amekuwa na utamaduni wa kuifuata timu mahali popote inapokwenda Ally Yanga amefariki dunia katika ajali ya gari Dodoma eneo la Ipogolo.

Taarifa za eneo la tukio zinaeleza kuwa Ally Yanga amepata ajali hiyo katika mbio za Mwenge.

?Live: Wabunge wakipiga kura kuhitimisha Bajeti Kuu ya Serikali
Australia yachukua tahadhari kuhusu vitisho vya Urusi nchini Syria