Michuano ya kombe la ligi nchini Uingereza (EFL) iliyo katika mzunguuko wa tano, iliendelea tena usiku wa kuamkia hii leo kwa michezo kadhaa.
Matokeo ya nani kapenya na nani kapigwa baada ya michezo hiyo, ni kama inayoonekana:
Arsenal 2-0 Reading
Bristol City 1-2 Hull City
Leeds Utd 2-2 Norwich (Leeds Utd wameshinda kwa penati 3-2 )
Liverpool 2-1 Tottenham
Newcastle Utd 6-0 Preston
Michuano hiyo leo inaendelea tena kwa michezio mitatu ambapo Southampton itaumana na Sunderland, West Ham itakabana koo na Chelsea huku vita kali ikitarajiwa kushuhudiwa kati ya Manchester Utd na Man City.