Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akitoa mkono wa pole kwa ndugu na familia ya Marehemu Ruge Mutahaba alipoongoza maelfu ya waombolezaji kuuaga mwili wa marehemu aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Entertainment kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019.

Video: Hali ilivyo usiku huu maandalizi ya Kili Marathon | Wafanyakazi DataVision wawasili kwa kishindo
Gwajima ampongeza Lowassa

Comments

comments