Mashindano ya Kili Marathon yalifanyika Machi 3, 2019 mkoani Kilimanjaro yanayohusisha nchi mbalimbali yamefana sana ambapo kati ya maelfu ya washiriki ni wafanyakazi wa Kampuni ya DataVision International yenye ofisi zake Mikocheni jijini Dar es Salaam, ambao wamezoa medali kadhaa huku Mtanzania, Emmanuel Giriki akiibuka na umshindi wa kwanza kwenye mbio za Kilometa 21 (half Marathon).

Tazama hapa matukio mbali mbali katika picha.

Wafanyakazi wa DataVision International wakionesha medali

Wafanyakazi wa DataVision International

Wafanyakazi wa DataVision International baada ya kushinda medali

Mwacheni aende, huko ni nyumbani- Mbowe
Kili Marathon: Mtanzania ashinda, DataVision yazoa medali

Comments

comments