Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB).

Aidha, Uteuzi huo wa Dkt. Mndolwa umeanza leo tarehe 23 Aprili, 2018.

Dkt. Mndolwa anachukua nafasi ya Prof. Leticia Rutashobya ambaye amemaliza muda wake

Video: ACT yamficha Zitto Kabwe, Utabili hali ya upinzani 2020
Wabunge watakiwa kuwa msaada kwa walemavu

Comments

comments