Rais, wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Waziri Waziri Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

Kabla ya uteuzi huo, Kindamba  alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, imeeleza kuwa uteuzi wa Kindamba umeanza rasmi Julai, 4, 2017.

Youngkiller aikana lebo ya WCB
Serikali Zambia yatangaza hali ya dharura