Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Fidelice Mbaruku Simbangulile Mafumiko kuwa Mkemia Mkuu wa Serikali.

Aidha, kabla ya uteuzi huo, Dkt. Mafumiko alikuwa Mkurugenzi wa Taaasisi ya Elimu ya Watu Wazima nchini (TEWW).

Hata hivyo, Dkt. Mafumiko anachukua nafasi ya Prof. Samuel Manyele ambaye amemaliza muda wake.

Video: Wabunge upinzani watofautiana bungeni, Mbowe atoka na msimamo mkali Segerea
Mbunge mwanamke awaomba wanaume waoe wanawake wengi

Comments

comments