Leo ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa Mtayarishaji wa Muziki P funk Majani na Muigizaji Kajala Masanja ambapo mwanamama huyo amemtakia heri ya kuzaliwa bintiye katika ukurasa wake wa instagram kwa kuandika maneno ya kumtia ujasiri na kumtoa machozi pindi atakapoyasoma.

Hilo linaweza kuwa jambo la kawaida kwa wazazi kuwaambia watoto wao lakini kubwa zaidi ni kumkumbusha bintiye ujumbe aliopewa na msanii mkongwe anayetumikia kifungo cha maisha Babu Seya.

SEYAA

Haya ni baadhi ya maneno aliyoyaandika mama Paula ‘Kajala akimkusha wajibu mwanaye ili aweze kuja kumtoa Babu Seya Magereza kwa kutumia elimu.

Without forgetting last week tulienda kumuona Babu Seya akakwambia kwamba `soma sana uwe advocate ili uje unitoe babu yako’that statement means alot Paula keep it in your mind…HAPPY BIRTHDAY TO MY BEAUTIFUL BABY GIRL…NAKUPENDA SANA MWANANGU??❤?

Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar es Salaam.

Mlinga Kuimarisha Afya na Elimu za Wanaulanga
Video: NECTA Imezitaja Shule 10 Bora Kitaifa, Shule 10 za Mwisho Kitaifa