Mashabiki wa Leicester City wakishangilia dakika chache baada ya mchezo wa Chelsea Na Tottenham kumalizika.
Kikosi Cha Leicester City Kinachonolewa Na Claudio Ranieri Raia Wa Italia, Ndiyo Mabingwa Wapya Wa England Baada Ya Sare Mabao 2-2 Kati Ya Timu Za London, Chelsea Na Tottenham Katika Game Iliyochezwa Usiku Wa Kuamkia Hii Leo.