Misa ya kuagwa kwa marehemu mbunge  wa jimbo la Buyungu kutoka mkoani Kigoma ikifanyika katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Marehemu Kasuku Bilago alifariki katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Mgogoro wa Kidiplomasia wa Urusi na Uingereza wamtimua Abromovich

Comments

comments