Fuatilia moja kwa moja hapa Dar24, sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Chuo cha Uongozi cha Julias Nyerere, Kibaha mkoa wa Pwani ambapo viongozi mbalimbali wa nchi wakiwa wamehudhuria sherehe hizo wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli.

Rais Magufuli ampa Obama zawadi ya kihistoria
Video: 'House Girl' matatani kuiba kichanga cha bosi wake, DC atimuliwa kazi akiwa ziarani na Waziri Mkuu

Comments

comments