Fuatilia hapa yanayojiri Bungeni Dodoma muda huu, ambapo leo Aprili 20, 2017 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anajibu maswali ya moja kwa moja ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bofya hapa kutazama moja kwa moja kutoka Bungeni Dodoma.

Opinions of Custom Writing Service with respect to School students
Mufindi yapewa mwezi mmoja kutoa elimu ya utunzaji mazingira