Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi,ambapo mtu  mwingine ameingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais kwenye mtandao wa WhatsApp.

Watanzania wengi wanaonekana kutokuijua vizuri sheria,hivyo mara nyigi wamekua wanajikuta matatani bila ya wao kujijua, muhimu ni kujuwa sheria hii inafanya kazi vp, inakamata, inahukumu na kufunga wananchi bila kubagua. Tutumie lugha ya staha, vijana hamko salama kwenye fb, twitter na WhatsApp…sheria ya mitandao ipo na inazunguka kama Simba aungurumae akitafuta mawindo

Chadema Wataka Mkutano wa Kumkabidhi Uenyekiti Rais Magufuri Uzuiliwe
Video: Selena Gomez apata ajali jukwaani