Burudani Mwanamuziki Diamond Aikosa Tuzo ya BET Marekani, Yachukuliwa na Huyu Hapa 8 years ago Mwanamuziki Diamond usiku wa jana ameikosa Tuzo ya BET ya Best International Act Afrika aliyokuwa akiiwania, Tuzo hiyo imeenda Kwa DJ, Black Coffee wa South Africa Mawaziri wa Leba kujiuzulu Uingereza Umaarufu wa Supu ya Pweza Kwa Wapwani..Je ni Kweli Inaongeza Nguvu za Kiume?