Mwili wa msanii Masogane tayari umekwisha tolewa katika hospitali ya Muhimbili tayari kwa kuanza safari ya kuelekea katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni kwa ajili ya misa ya kuaga mwili huo na rasmi kuusafirisha jijini Mbeya ambapo atapumzishwa katika nyumba yake ya milele.

Polepole akemea wanaomchafua Rais
Yanga kutafuta pointi tatu kwa Mbeya City

Comments

comments