Kikosi cha Simba SC kikiwa ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambako kilifanya ziara leo na kushuhudia kipindi cha maswali na majibu kwenye mhimili huo wa kutunga sheria.

Vijana hao wa Msimbazi wapo Dodoma kwaajili ya mtanange wa VPL dhidi ya Dodoma Jiji FC.

Picha ya pamoja ya wabunge, mtendaji mkuu wa klabu, wachezaji na benchi la ufundi wakiwa nje ya Bunge la Tanzania.

Biden asaini agizo la kubadili sera ya uhamiaji
Lwamdamina aishtukia Simba SC