Uingereza inatarajia kuanza majaribio ya manowari yake kubwa ya kivita baharini kwaajili ya kuhakikisha inajilinda na mashambulizi ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara.

HMS Queen Elizabeth ndiyo manowari kubwa kuwahi kutengenezwa na Jeshi la Uingereza ikiwa na uwanja wa ndege ambao una ukubwa sawa na viwanja vitatu vya mpira.

Aidha, Manowari hiyo inaukubwa kiasi kwamba itabidi kusubiri kupungua kwa kina cvha maji kwa baadhi ya maeneo baharini ili iweze kupita.

Hata hivyo, Manowari hiyo ya Kijeshi itachukua muda wa miaka kadhaa kuanza kutumika kwa matumizi iliyokusudiwa na kubeba ndege.

 

Awekwa kwenye Jeneza akiwa hai na kutishiwa kuchomwa moto
Wabakaji kukomeshwa, adhabu kali yaja