Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alipowasili katika eneo alilotekwa mfanyabiashara Mo Dewji amezungumza na vyombo vya habari na kuelezea mwanzo mwisho namna ambavyo wazungu walifanikisha tukio la kumteka Mo Dewji.

”Kulikuwa na magari mawili, moja lilikuwa likimfuatilia kwa nyuma, wakati anashuka wakashuka wazungu wawili wakamkata wakamtupia kwenye gari yao, geti lilikuwa limefungwa wale watu wakashuka wakapiga risasi hewani na kufungua geti wenyewe” amesema Makonda.

Tazama na sikiliza video hapa chini.

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine TANROADS
Marekani kusaidia kumtafuta mwandishi wa habari aliyepotea

Comments

comments