Chama cha ACT Wazalendo, kimeahidi kukata rufaa baada ya wagombea wao kuenguliwa katika nafasi ya kugombea uchaguzi wa serikali za mitaa.

Katibu Mkuu wachama hicho, Doroth Semu, amesema kuwa uamuzi huo umefikiwa baada ya kuona wagombea wao wengi wameenguliwa, na wengine wameenguliwa bila sababu…, Bofya hapa kutazama.

Magufuli aombwa kuwa mgeni rasmi
Azam FC, Young Africans katika mtihani mzito