Wakati Taifa likiendelea kuomboleza kifo cha Dk. Regnald Mengi, bado shuhuda mbalimbali zinaendelea kutolewa kwa watu ambao walipata msaada wa moja kwa moja kutoka kwa Marehemu.

Erasto Njoyoka ni miongoni mwa vijana waliopewa fedha kwaajili ya mitaji ili wapambane na umasikini, May 1995 ambapo vikundi 300 vya vijana vilinufaika na kila kikundi chenye watu 25 kilipata 350,000/=, ambazo zinawasaidia hadi leo…,Bofya hapa kutazama simulizi yote.

Gwajima: Angeniweka mimi mwenyewe kuliko kuunganisha picha
Gwajima anazungumza na vyombo vya habari

Comments

comments