Mkuu wa Wialaya ya Iringa Mjini, Richard Kasesela amelitaka jeshi la polisi kutotumia nguvu katika kutekeleza majukumu yake.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na Dar24 Media, ambapo amesema kuwa ni vyema jeshi hilo likaanza kutumia weledi zaidi kuliko nguvu.

Aidha, katika hatua nyingine Kasesela amewaasa viongozi kujitathmini katika kutoa matamko mbalimbali ambayo wamekuwa wakiyatoa kwani yanaweza kuleta matatizo katika jamii.

 

Wasafi TV, Redio zapata leseni… kuwashwa
Wakimbizi watano wafariki kwenye maandamano Rwanda