Familia ya Lissu yafunguka, Ukawa yatia neno magari ya Makonda, ‘Advansi’ ya Makinikia kununua Bomberdier 10, Tanzanite One yasema ipo tayari kupitia mkataba mpya, Bomoa bomoa ya karne yaja, Serikali yaagiza zipigwe x nchi nzima…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 23, 2017. Tazama video


Video: NATESEKA SANA: Mtoto aliyefanyiwa oparesheni 10 tumboni amuomba Rais JPM, Makonda kuokoa maisha yake

Kibarua cha Ronald Koeman mashakani baada ya kufungwa na Arsenal
RC Makonda azidi kuliimarisha jeshi la polisi