Msanii wa muziki wa Bongo fleva, Harmorapa amefunguka kuhusu ukimya wake katika muziki huku akitaja kuachana na aliyekuwa Meneja wake kuwa moja kati ya sababu za ukimya wake.

Akiongea na Dar24 Media kwa njia ya simu akiwa kujijini kwao msanii huyo amesema amekuwa kimya kutokana kutokuwa na Meneja na kuwa na safari nyingi za nje ya nchi lakini muda si mrefu ataanza kuachia ngoma zake mpya.

Sikiliza mahojiano ya Harmorapa na Dar24 Media hapa chini;

Urusi 2018: Nani atabeba Kombe? Tuimulike Panama
Hatima ya Yanga kujulikana leo

Comments

comments