JPM aiteka UN, wajumbe washangazwa na utendaji kazi wake, nchi kibao zapigana vikumbo kutaka kujifunza, Askofu ajitoa mhanga kilio cha Katiba Mpya, aziambia asasi 80 za kiraia kuwa yupo tayari kuitwa mchochezi endapo kuidai kutatafsiriwa hivyo, Lema na Nassari wafurahia kupeleka ushahidi Takukuru…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 28, 2017. Tazama video

Mmiliki wa Facebook 'atifuana' na Trump
Video: Wabunge Uganda wapigana tena Bungeni