Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuapisha Dkt. Willbrod Slaa kuwa balozi wa Tanzania nchini Sweden.

Dkt. Slaa ameapishwa mapema hii leo Ikulu jijini Dar es salaam kuwa balozi wa Tanzania nchini Sweden ambako ndio kituo chake alichopangiwa.

Video: Papii Kocha ahuzunisha dunia na wimbo wake mpya ''Waambie''
Mtoto arudishwa nchini baada ya wazazi kuhukumiwa kunyongwa