Kigogo dawa za kulevya aondolewa nchini, Vyeti feki vyazua kizaazaa, Watumishi wapiga kambi, wakurugenzi wajifungia, EWURA wapunguza bei ya Mafuta…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 3, 2017.

Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania.

Bofya hapa kutazama

?Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 3, 2017
Magazeti ya Tanzania leo Mei 3, 2017