Mkurugenzi Mkazi wa Yohoma Education Limited (YEL), Yusuph Yahya, Taasisi inayoshughulikia watu wanaotaka kusoma nje ya nchi ”Scholarship” kwa masomo ya elimu ya juu amefunguka juu ya taratibu na vigezo muhimu vinavyohitajika.

Ambapo amezungumzia taratibu muhimu kwa mtu aliyemaliza kidato cha sita waliopata mwisho daraja la tatu, lakini pia wale waliomaliza shahada ya kwanza, pamoja na wale waliomaliza shahada ya udhamivu mambo anayotakiwa kufuata ili aweze kupata ufadhili wa kusoma nche ya nchi ”Scholarship”.

Msikilize hapa Mkurugenzi huyo akitoa maelezo kwa kina juu ya taratibu na vigezo muhimu vya mtu kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi.

Video: Vigogo Chadema wapewa kesi 400, Serikali yamwaga ajira 4,440
Liverpool Kumng'oa Alison Stadio Olimpico?